Imetumwa : July 17th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makalla amezirejesha Kaya 309 za wananchi wa Vijiji vya Ndolela, Mapaliji na Ikawe Wilaya ya Chunya baada ya tume aliyounda kujiridhisha kwamba waliondolewa maeneo hayo...
Imetumwa : July 14th, 2018
Watumishi wa Serikali Mkoa wa Mbeya wametakiwa kujitokeza kupima maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kwa lengo la kutambua afya zao na kuishi kwa furaha kuunga mkono agizo la Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. ...
Imetumwa : July 13th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makalla ametoa msaada wa fedha taslimu kiasi cha sh. Milioni moja (1,000,000) kwa Bibi Vumilia Mwakyoma aliyemwagiwa tindikali kwa ajili ya matibabu ya majeraha aliyopa...