• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Watumishi wa Umma Watakiwa Kurudisha Madeni ya Kiwira SACCOS haraka

Imetumwa : March 16th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila amewaagiza watumishi wote wa umma waliochukua mikopo katika Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo cha Kiwira kurudisha fedha hizo kabla ya tarehe 1 April, 2019.

Mhe. Chalamila ameyasema hayo leo Kata ya Kiwira wilayani Rungwe alipokuwa akiongea na wanachama wa Kiwira SACCOS pamoja na bodi na watendaji wa chama hicho.

Mhe. Chalamila amesema kuwa haiwezekani Chama kinatengeneza mazingira mazuri ya kuwanufaisha wanachama wake lakini watumishi watumie elimu zao kuwaibia wanachama hao.

" Leo hii kuna Hakimu hapa anadaiwa karibu milioni 48 na chama, mnajuaje kama hizo kesi zinazofunguliwa na wadaiwa sugu yeye ndo anawaita ili acheleweshe hukumu?" Mhe Chalamila

Aidha, Mhe Mkuu wa Mkoa amewashauri wanachama hao kuangalia namna ya kubadili sheria na kuhakikisha watumishi wa umma makato yao yanaidhinishwa na mwajiri  wake ili yakatwe kupitia mshahara yao.

Akisoma taarifa ya ukaguzi maalumu wa Chama hicho Afisa Ushirika wa Wilaya Bw Thadey mwambeso amesema kuwa Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo cha Kiwira kimeshindwa kujiendesha na kushindwa kutoa huduma za fedha kwa wakati kwa wateja wake pamoja na wanachama kutokana na kuwa na madeni makubwa na kutosimamia ureshwaji wa mikopo.

Bw. Mwambeso amesema kuwa moja changamoto ni watumishi 14 wa umma kama mbalimbali wakiwemo polisi, watendaji,Hakimu na daktari kutorejesha  mikopo yao kwa wakati.

Naye Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoani Mbeya Bi Angela Maganga amesema kuwa bodi imeshindwa  kusimamia chama na kukiuka kanuni na taratibu za uendeshaji wa chama ikiwemo kushindwa kuwasimamia   watendaji mpaka wanajikopesha fedha na kutolipa fedha hizo kwa riba.Bi Maganga amesema  kuwa kwa mujibu wa sheria ya Ushirika namba 6 mwaka 2013 jedwali namba 4 kifungu namba 7 anaivunja bodi ya Kiwira SACCOS kwa kushindwa kusimamia masuala ya chama hicho na kupelekea kushindwa kutoa huduma kwa wanachama na wateja wake.



Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Fomu za Maelekezo kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2021 Shule za Mkoa wa Mbeya (Joining Instructions) June 07, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • RC Homera atoa siku 14 Tarura kupata Mkandarasi Mpya

    February 23, 2023
  • WAZIRI DKT MABULA AZINDUA MPANGO KABAMBE WA JIJI LA MBEYA

    February 21, 2023
  • WATOTO 5,236 WAPANGIWA VYUO MBALIMBALI VYA UFUNDI MKOANI MBEYA

    February 06, 2023
  • "Wananchi Tushirikiane kutokomeza ukatili wa Kijinsia" Rc Homera

    December 02, 2022
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa