• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Watafiti Watakiwa Kutokatishwa Tamaa na Wanasiasa

Imetumwa : June 12th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Albert Chalamila amewataka watafiti katika Taasisi ya Utafiti wa  Kilimo Uyole kutokatishwa tamaa na maneno ya baadhi ya watu ambao hawana taaluma ya tafiti kwa sababu hatuwezi kufanya jambo lolote bila ya kuwa na matokeo ya utafiti.

Mhe. Mkuu wa Mkoa amesema hayo leo alipofanya ziara ya kutembelea Taasisi ya Kilimo, Mifugo pamoja na Chuo  cha Kilimo na kuwataka kuendea kufanya Utafiti zaidi  kujikita kutoa tafiti zitakazowasaidia watu wa hali ya chini.

" Watafiti msife moyo hata kidogo kabisa kwa sababu sisi wanasiasa hatukunyang'anyi haki  ya kuwa mtafiti ila kuna uwezekano sisi hatutumii matokeo ya utafiti na kwa sababu hiyo watu wanatoa hitimisho la kuwakatisha tamaa". RC Chalamila

Aidha, Mkuu wa Mkoa amesema lugha inayowekwa kwenye tafiti nayo ni tatizo ambapo tunafanya tafiti kwa kumuangalia mtu wa chini wa Tanzania lakini kwa mawazo ya mataifa mengine kwamba watu wa nje wakielewa vizuri basi ndio utafiti mzuri.

Naye  Mkurugenzi wa TARI Uyole Dkt Tulole Bucheyeki amesema kuwa taasisi imefanikiwa kuweza kupima udongo  na kutoa ushauri kwa wakulima mazao yanayoweza kulimwa katika udongo unaopimwa

Dkt Bucheyeki amesema kuwa majukumu ya taasisi yao ni Kufanya tafiti mbalimbali za Kilimo, kusimamia ubora wa tafiti za kilimo, kushirikiana wataalamu mbalimbali wa ndani na nje kuhuhisha teknolojia na kutafuta fedha za utafiti na kubuni na kuzalisha mbegu za madaraja yote.

Aidha, kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Mifugo Dkt Suleiman  Nasib Masola amesema taasisi hiyo inajukumu la kufanya utafiti wa malisho ya mazuri zaidi ya mifugo , tafiti za magonjwa ya Mifugo ambayo pia yatamuambukiza binadamu na Mifugo.

Matangazo

  • Fomu za Maelekezo kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2021 Shule za Mkoa wa Mbeya (Joining Instructions) June 07, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji March 11, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • "Wananchi Tushirikiane kutokomeza ukatili wa Kijinsia" Rc Homera

    December 02, 2022
  • Wakuu wa Wilaya Mbeya wasaini Mkataba wa Afua za Lishe

    October 11, 2022
  • RC HOMERA AWATAKA ASKARI WA BARABARANI KUWACHUKULIA HATUA MADEREVA WANAOKIUKA SHERIA.

    September 15, 2022
  • Mbeya Vinara Mchezo wa Mpira wa Miguu UMISETA NA UMITASHUMTA

    August 24, 2022
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.