• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wakulima wa Pareto Mbeya Walia na WAnunuzi

Imetumwa : March 5th, 2019

Wakulima wa zao la Pareto Kata ya Ilembo Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wamelalamika kutokuwa na imani na bei wanayopewa na wanunuzi kama inaendana na ubora wa zao hili kutokana na kukosa mtaalamu wa kuhakiki ubora wa pareto inapofikishwa kiwandani.

Akitoa malalamiko hayo leo tarehe 5 Machi, 2019  kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwenye mkutano wa hadhara, Diwani wa kata hiyo Mhe Bunge Njawala amesema kuwa changamoto hiyo inawafanya wakulima kukata tamaa na kilimo hicho cha pareto.

Bw. Njawala amesema kuwa wanunuzi wanachukua pareto ya wakulima kwaajili ya kwenda kupima kiwango cha sumu na hakuna mkulima anayekwenda kuthibitisha katika viwanda hivyo kufanya malipo ya pili ya fedha zao kutozipata.

Aidha, Bw. Njawala amelalamikia pia kuwepo kwa mnunuzi mmoja wa zao hilo na kupelekea kukosa ushindani na kukupaliana na bei yoyote itakayopangiwa na mnunuzi huyo ambae ni Kiwanda cha Pareto Mafinga.

Akijibu malalamiko hayo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila amesema amepanga kuwaita  na kuzungumza na wanunuzi wa zao hilo  ikiwezekana waanze kuifanyia marekebisho mikataba ya ununuzi ili uweze kumnufaisha Mkulima

“ Haiwezekani Mkoa wa Mbeya ukawa wa pili kwa uzalishaji wa pareto iliyo bora kwa ukanda huu duniani lakini wakulima wasinufaike na kilimo hicho, nitalisimamia kuhakikisha pande zote mbili zinanufaika” Mhe. Chalamila

Naye Hamadi Mbeyale amelalamikia ukosefu wa fedha kwa muda mrefu kwenye vituo vya kuuzia pareto kinyume na kanuni za bodi ya pareto na kuhisi kama bodi hiyo sio msaada kwao kwa kuonyesha upendeleo kwa kiwanda cha pareto

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Fomu za Maelekezo kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2021 Shule za Mkoa wa Mbeya (Joining Instructions) June 07, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • RC Homera atoa siku 14 Tarura kupata Mkandarasi Mpya

    February 23, 2023
  • WAZIRI DKT MABULA AZINDUA MPANGO KABAMBE WA JIJI LA MBEYA

    February 21, 2023
  • WATOTO 5,236 WAPANGIWA VYUO MBALIMBALI VYA UFUNDI MKOANI MBEYA

    February 06, 2023
  • "Wananchi Tushirikiane kutokomeza ukatili wa Kijinsia" Rc Homera

    December 02, 2022
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa