• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

VETA Mbeya Watakiwa Kuongeza Idadi ya Vyuo vya Ufundi

Imetumwa : June 11th, 2019

Mkuu wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila  ameutaka Uongozi wa Chuo cha VETA Kanda kuangalia namna watakavyoweza kuongeza idadi ya vyuo vya ufundi  sehemu nyingine kwa sababu mahitaji yake ni makubwa sana hasa katika kuelekea uchumi

Mhe. Chalamila ameongea  hayo leo kwenye ziara ya kukagua na kuongea na watumishi wa chuo  hicho  na kuwataka kuendelea kuwa  na mpango wa kuhakikisha kila fundi aliyeko mtaani amepitia mafunzo katika chuo hicho.

" Nina mpango kabla ya mwaka 2020 kuanzisha mfumo utakaohakikisha fundi yeyote aliyepo katika Mkoa wa Mbeya ana  Cheti cha VETA kwa  kozi za muda  mfupi  na  Chuo pia muangalie jinsi ya kupunguza ada ili iwe rafiki kwa vijana wote kuweza kulipa". Mhe. Chalamila

Aidha, Mhe Mkuu wa Mkoa amekitaka  Chuo cha VETA kuwa na mahusiano mazuri na vyuo binafsi vya ufundi na lazima  wawe wadhibiti ubora wa taaluma  wa vyuo hivyo

Akisoma taarifa ya Chuo hicho Mkuu wa Chuo Cha VETA  Mbeya Mhandisi Hasan Kalima amesema kuwa chuo hicho kinatoa kozi mbalimbali za muda mfupi na muda mrefu ambazo zimeweza kutoa fursa  kwa watu wengi kupata mafunzo ya ufundi stadi na kuweza kujiajiri

Mhandisi Kalima amesema wahitimu wa mafunzo ya kozi za muda mfupi kwa muda wa miaka mitano iliyopita imefikia 7,500 katika yao Wanaume 6,000 na Wanawake 1,500 kutokana uhitaji mkubwa uliopo sasa hasa katika elimu ya ujasiriamali

" Chuo kimeweza kujenga  Green House kama shamba darasa ili jamii inayotuzunguka iweze kujifunza namna ya kujenga na kutumia kilimo  hiki  kwa kustawisha mazao mbalimbali". Mhandisi Kalima

Aidha Kalima amemshukuru Mkuu wa Mkoa kwa kuweza kukitembelea chuo hicho kujionea shughuli za mafunzo na huduma  wanazozifanya na kutoa ushauri wa kuboresha

Matangazo

  • Fomu za Maelekezo kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2021 Shule za Mkoa wa Mbeya (Joining Instructions) June 07, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji March 11, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • "Wananchi Tushirikiane kutokomeza ukatili wa Kijinsia" Rc Homera

    December 02, 2022
  • Wakuu wa Wilaya Mbeya wasaini Mkataba wa Afua za Lishe

    October 11, 2022
  • RC HOMERA AWATAKA ASKARI WA BARABARANI KUWACHUKULIA HATUA MADEREVA WANAOKIUKA SHERIA.

    September 15, 2022
  • Mbeya Vinara Mchezo wa Mpira wa Miguu UMISETA NA UMITASHUMTA

    August 24, 2022
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.