• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Uzinduzi wa uandikishaji wa Mfuko wa Afya wa Jamii Ulioboreshwa

Imetumwa : April 5th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe.Albert Chalamila amesema moja ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu ya Tano ni kuhakikisha kwamba wananchi hasa wa sekta zisizo rasmi wanapata matibabu kupitia mifumo ya bima ili kufikia lengo la afya bora kwa wote.                        

Mhe. Chalamila ameyasema hayo leo wakati akifanya uzinduzi wa usajili wa wanachama wa Mfuko wa Afya ya Jamii Uliyoboreshwa na kusema  serikali ina malengo ya muda mrefu ya kuwa na mfuko moja wa bima ya afya ambao kila mwananchi atachangia.                            

 “Ninaagiza Wakurugenzi kuhakikisha mnaandaa mikataba haraka kwa ajili ya maafisa waandikishaji ngazi ya Vijiji/Mitaa  na wasimamizi wa CHF ngazi  ya Tarafa. Aidha simamieni zoezi la ununuzi wa simu za vituo vya kutolea huduma”. Mhe Chalamila                        

Akisoma taarifa Mratibu wa CHF Mkoa Bibi Selina Mtenya ameishukuru Wizara ya OR-TAMISEMI kwa kuwezesha mafunzo ya mfuko wa afya ya jamii iliyoboreshwa katika ngazi ya Mkoa na Wilaya na kuwashukuru wadau wa maendeleo GIZ kwa kuwezesha magunzo ya CHF ngazi ya Tarafa na Vijiji/Mitaa.

Bibi Mtenya amesema kuwa usajili utafanyika kwa Kaya kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya simu ya mkononi (Smartphones) na hakutakuwa na gharama za kupiga picha na kila mwanachama atapatiwa kitambulisho chake.                                                         “Kiwango cha mchango wa mfuko wa afya ya jamii ulioboreshwa ni sh.30,000 kwa kaya ya watu sita kwa Mawala na Serikali itachangia kiasi kama hicho cha sh. 30,000 na mwanachama atapata huduma kuanzia ngazi ya za Zahanati, Kituo cha Afya, Hospitali za Wilaya na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa kwa kizingatia utaratibu wa rufaa.” Bibi Mtenya.            

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji SSP James Kasusura amehidi kufanya hamasa kuanzia ngazi ya mitaa na kuhakikisha wanaandikisha wanachama wengi ili kuuweka mkoa katika nafasi nzuri.


Matangazo

  • Fomu za Maelekezo kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2021 Shule za Mkoa wa Mbeya (Joining Instructions) June 07, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji March 11, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • "Wananchi Tushirikiane kutokomeza ukatili wa Kijinsia" Rc Homera

    December 02, 2022
  • Wakuu wa Wilaya Mbeya wasaini Mkataba wa Afua za Lishe

    October 11, 2022
  • RC HOMERA AWATAKA ASKARI WA BARABARANI KUWACHUKULIA HATUA MADEREVA WANAOKIUKA SHERIA.

    September 15, 2022
  • Mbeya Vinara Mchezo wa Mpira wa Miguu UMISETA NA UMITASHUMTA

    August 24, 2022
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.