• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

TANROADS yatoa Milioni 20 Kutekeleza Agizo la Mhe Rais

Imetumwa : June 10th, 2020

 

 

Agizo la Raisi latekelezwa na Tanroad, wakabidhi milion 20 kwa mkuu wa Mkoa Kukamilisha ujenzi wa madarasa Isyonje.

 

 

 

 

 

 

 

 

10th June,2020

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila leo amepokea kiasi cha shilingi milion 20 kutoka kwa meneja wa Tanroad mkoa wa Mbeya ikiwa ni maagizo yaliyotolewa na Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. John P. Magufuli aliyewataka Tanroad kuchangia kiasi hicho katika kijiji cha Isyonje kutokana na  kutoridhishwa na Tanroad mkoa wa Mbeya kwa kuwacheleweshea kuwalipa fidia wananchi wa kijiji hicho ambao walitakiwa kupisha ujenzi wa mizani katika makazi yaowanayoishi.

Jana katika kikao cha Mkuu wa mkoa na wananchi wa Isyonje aliweza kuzungumza moja kwa moja kwa njia ya simu na Mh Raisi ambapo Mh.Raisi alitoa maagizo kwa meneja wa Tanroad wa mkoa wa mbeya kuwapatia milion 20 serikali ya kijiji hicho ili kukamilisha ujenzi wa madarasa pia Mh. Raisi alitengua uwamuzi wa Tanroad kuwahamisha wananchi wa Isyonje ambao walitakiwa kuhama ili kupisha ujenzi wa mizani tangu mwaka 2017 bila kupewa fidia yao na kuamuru wananchi hao waachwe katika maeneo yao na Tanroad watafute eneo jingine.

Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Isyonje leo wakati wa makabidhiano  wa fedha hizo Mkuu wa mkoa amemtaka mkuu wa wilaya Rungwe Mh. Julius Chalya kusimamia fedha hizo kwa umakini ili ziweze kutumika kukamilisha ujenzi wa madarasa kama zilivyo kusudiwa na Raisi. Nae mkuu wa wila ya Rugwe alimshukuru Mh.Raisi kwa kuwapatia kiasi hicho ambapo amemuahidi mkuu wa mkoa kuzisimamia fedha hizo kikamilifu ili kukamilisha ujenzi wa madarasa. nae mtendaji wa kijiji cha Isyonje baada ya kukabidhiwa fedha hizo na Mkuu wa wilaya amesema fedha hizo zitawekwa katka account ya shuleili zitumike katika kukamilisha ujenzi huo.

 

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh.Albert Chalamila akimkabizikiasi cha shilingi milioni 20 mkuu wa wilaya ya Rungwe Mh. Julius Chalya kilichotolewa na Tanroad.

Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mh. Julius Chalya akizungumza 1wananchi wa kijiji cha Isyoke

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya RPC Ulrich Matei akizungumza na wananchi wa Isyonje akiwasisitiza kuendelea kutoa ushirikiano na vyombo cha ulinzi na usalama ili kuweza kutoa taarifa za uhalifu.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Wananchi wa kijiji cha Isyonje wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Mbeya alipo fanya ziara katika kijiji hicho na kukabidhi milioni 20 ili kukamilisha ujenzi wa madarasa.

 

Matangazo

  • Fomu za Maelekezo kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2021 Shule za Mkoa wa Mbeya (Joining Instructions) June 07, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji March 11, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Afungua Maonesho ya Nanenane jijini Mbeya

    August 01, 2022
  • RC HOMERA:Usafiri saa 24 kuanza kwa Vibali maalum Mbeya

    June 28, 2022
  • Rc Homera akutana na Ujembe wa Chama cha Madaktari Bingwa wa Upasuaji Tanzania (TSA)

    June 13, 2022
  • Rc Homera akabidhi pikipiki 7 kwa Warajisi wasaidizi Mkoani Mbeya

    June 13, 2022
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.