• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC Aagiza Polisi Kuvunja Mitubwi inayotumiwa Kwenye Vivuko Visivyo Rasmi

Imetumwa : April 7th, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mheshimiwa Albert Chalamila amewaagiza askari wote watakaokuwa wanaendesha zoezi la kuwakamata watu wanaoingia nchini kwa njia za panya mpaka wa kasumulu kutembea na panga na shoka kwa ajili ya kupasua mitumbwi inayotumiwa na wahamiaji hao.

Akiongea na wananchi na Viongozi wa Serikali Wilaya ya Kyela katika mpaka wa Tanzania na Malawi eneo la Kasumulu Mhe Chalamila amesema mpaka huo una  vivuko visivyo rasmi zaidi ya 30 ambavyo wananchi wanavitumia kuvuka ili kukwepa kuwekwa karantini.

”Hivi vivuko visivyo rasmi ndivyo vinatajwa kutumiwa kuvuka kwa kificho hususani katika kipindi hiki ambacho sisi Serikali ya Mkoa wa Mbeya tunasimamia watu wote wanaoingia nchini kutoka nchi jirani kuwekwa karantini  kwa siku 14 ikiwa ni sehemu ya kukinga kusambaa kwa maambukizi ya ugonjwa wa COVID 19”.Amesema Chalamila 

Awali kwa Kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya Mama Claudia Kitta amesema kuwa baada ya msimamo wa Serikali wa kuwaweka karantini, baadhi wakazi katika maeneo jirani na Mto Songwe unaotenganisha nchi ya Tanzania na Malawi wanatumia mitumbwi kuwavusha wageni kutoka nje ya nchi kupitia vivuko visivyo rasmi hatua ambayo inaleta ugumu wa usimamizi wa kubaini wageni.  

Mama Kitta alisema kuwa tayari wapo watu waliokamatwa wakivushwa mpaka kwa kutumia mitumbwi ambapo wanaendelea kuchukuliwa hatua za kisheria kwa kuwa wanachukuliwa kama wahamiaji haramu.

Matangazo

  • Fomu za Maelekezo kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2021 Shule za Mkoa wa Mbeya (Joining Instructions) June 07, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji March 11, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Afungua Maonesho ya Nanenane jijini Mbeya

    August 01, 2022
  • RC HOMERA:Usafiri saa 24 kuanza kwa Vibali maalum Mbeya

    June 28, 2022
  • Rc Homera akutana na Ujembe wa Chama cha Madaktari Bingwa wa Upasuaji Tanzania (TSA)

    June 13, 2022
  • Rc Homera akabidhi pikipiki 7 kwa Warajisi wasaidizi Mkoani Mbeya

    June 13, 2022
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.