• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Halmashauri Zatakiwa Kulipa Madeni ya Watumishi

Imetumwa : June 10th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Homera amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Mbeya kuandaa mpango Mkakati wa namna watakavyo lipa madeni ya watumishi hasa Idara ya Elimu na Afya ili kuweza kuondokana na madeni hayo.

Mhe Homera ameyasema hayo leo Juni 10, wilayani Kyela kwenye kikao Maalumu cha Baraza la Madiwani kupitia hoja  za ukaguzi  na kuitaka Halmashauri kuanza kulipa kidogo kidogo ili kurudisha hari ya watumishi kufanya kazi.

“ Wekeni mipango kwamba kutoka Februari 2020 hadi Machi 2021 sisi Kyela tunadaiwa bilioni 2.7, tutalipa kama ifuatavyo na itafurahi kama mtaanza kulipa watumishi wachache ili wapate nafuu na kuona matumaini” Mhe Homera

Akikamribisha Mkuu wa Mkoa Katibu Tawala wa Mkoa Dkt Angelina Lutambi amewataka wakurugenzi kuhakikisha wanawalipa watumishi fedha za uhamisho mapema pale wanapowahamisha na wasiwahamishe kama hawana fedha za kuwalipa watumishi hao.

Aidha, Dkt Lutambi amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Mbeya kuhakikisha wanawapandisha vyeo na kuwabadilisha kada watumishi wote wenye sifa na kuhakikisha wanawaingiza  kwenye Mfumo wa Kiutumishi kabla ya tarehe 12 Juni, 2021

Dkt Lutambi amesema kuwa watumishi wote waliopandishwa vyeo wanatakiwa kuingia kwenye Mfumo mapema ili kuepuka malimbikizo ya madeni  na kuipa mizigo halmashauri zetu.

“Sasa wakurugenzi mhakikishe watumishi wanapandishwa vyeo kwa muda na kuingizwa kwenye mfumo hasa idara ya elimu na Afya” Dkt Lutambi

Matangazo

  • Fomu za Maelekezo kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2021 Shule za Mkoa wa Mbeya (Joining Instructions) June 07, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji March 11, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • "Wananchi Tushirikiane kutokomeza ukatili wa Kijinsia" Rc Homera

    December 02, 2022
  • Wakuu wa Wilaya Mbeya wasaini Mkataba wa Afua za Lishe

    October 11, 2022
  • RC HOMERA AWATAKA ASKARI WA BARABARANI KUWACHUKULIA HATUA MADEREVA WANAOKIUKA SHERIA.

    September 15, 2022
  • Mbeya Vinara Mchezo wa Mpira wa Miguu UMISETA NA UMITASHUMTA

    August 24, 2022
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.