• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Environmental Degradation Promote Water Loss in Ruaha River Basin

Imetumwa : April 21st, 2017

Uharibifu wa mazingira kwa ukataji wa miti hovyo na kuongezeka kwa shughuli za kibinadamu pembezoni mwa  mto Mbarali zimekuwa sababu kubwa zinazochangia kupunguza kiasi cha maji kuelekea mto Ruaha na pia kubadilisha muelekeo wa maji ya mto huo.

Hayo yamebainishwa na Kikosi Kazi cha Kitaifa kunusuru Mto Ruaha wakati wakisikiliza maoni na changamoto kutoka kwa wadu mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali.

Akiongea na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Kitaifa cha kunusuru Mto Ruaha ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Richard Muyungi amesema kuwa kuna uvamizi mkubwa wa wakulima katika mfereji wa kampuni ya Mbarali Estate ambao unaotoa maji kwenye mto kupeleka katika mashamba yao ambapo unasababisha utumiaji wa maji holela wa maji katika wilaya ya Mbarali.

" Mfereji unaotoa  maji kutoka Mto Mbarali kuja kwenye mashamba umejengwa kwa umbali wa Km.14 ambapo hapo katikati wananchi wanatumia pumpu kuchukua maji kwa ajili ya kumwagilia mashamba yao ambayo ni makubwa sana".

Aidha, Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi Mariam Mtunguja ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali kuhakikisha wana kamata mashine zote za kusukumia maji kutoka mfereji wa shamba la mwekezaji mpaka kwenye mto. Mifereji na mabanio yanachepusha maji bila kibali katika Wilaya ya Mbarali yapelekea kukatika kwa Mto wa Ruaha.

Bibi Mtunguja amewataka Watendaji wa Vijiji na Kata  kutoa Elimu kwa Wananchi wa Maeneo yao juu ya matumizia sahihi ya maji na juu ya sheria ya kufanya shughuli za kibinadamu mita 60 toka kingo za mto ili wapate uelewa  zaidi.

Naye Mkuu wa Wilaya ya  Mbarali Bw. aamesema kuwa uanzisahaji wa Mashamba makubwa yanayochepusha maji kutoka Mto Mbarali na kupeleka kwenye mashamba hayo kunasababisha upotevu wa muelekeo wa maji ya Mto Mbarali unaopeleka maji yake Mto Mkuu Ruaha na kusababisha uchache wa maji yanayoelekea mtoni.Mto.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa