• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Mkoa Atekeleza Agizo kwa Wakati

Imetumwa : June 9th, 2020

9th June, 2020.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh.Albert Chalamila amefanyamkutano na wananchi wa kijiji cha Isyonje ambacho kipo katikampaka wa Mbeya na Rungwe ambapo wananchi wa kijiji hichowalikua katika mgogoro wa mda mrefu kati yao na TANROADS kuhusu kulipwa fidia ya maeneo yao wanayoishi ambapomwaka 2017 Tanroad iliwapa taarifa wananchi wanaoishi eneohilo la Isyoke kuhama na kuwahidi kuwalipa fidia wananchi waeneo hilo ndani ya miezi 6.

Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Isyoke Mkuu wa mkoaamewaeleza kua Mheshimiwa raisi wa Jamuhuri ya Muunganowa Tanzania Dr.John P. Magufuli alisikia kilio cha wananchi wakijiji hicho leo asubuhi kupitia radio ya taifa TBC wakilalamikakucheleweshewa kulipwa fidia kwa mda mrefu tangu 2017 walipoambiwa na Tanroad kuhusu eneo lao kutaka kutumikakwa ajili ya ujenzi wa mizani na kuahidiwa kulipwa fidia ndaniya miezi sita lakini mpaka leo hawajalipwa fidia zao hukuwakipewa tangazo la kutoliendeleza eneo lao kwa kujenga nakutakiwa kusubiria fidia. Wananchi hao walitoa kilio chao nakumuomba Mh. Raisi awasikilize kwani nyumba zao zinazidikuharibika na kushindwa kuzifanyia ukaratabati kutokana nakatazo walilopewa na Tanroad. Mkuu wa mkoa alieleza kuaMheshimiwa Rais amemuagiza kwenda kuwapa taarifa Tanroadkuwa eneo hilo la Isyonje libaki kwa wananchi lisichukuliwe,amewataka Tanroad wanapotaka kuchukua eneo lolote la wananchi kwa ajili ya ujenzi wanatakiwa kuwalipa kwanza fidiandani ya miezi sita. 

Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mh. Julius Chalya kushotoakimuonyesha Mkuu wa Mkoa maeneo ambayo Tanroadilipanga kubomoa ili kupisha ujenzi wa mizani katika kijiji cha Isyonje, kulia ni mkuu wa wilaya ya mbeya mjini Mh. Paul Ntinika 

Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya RPC  Ulrich Mateiakizungumza na wananchi wa Isyonje na kuwasihi kuendelezakulinda swala la ulinzi na usalama wa mkoa wa mbeya.

 

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020 November 21, 2020
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Mbeya Yaja na Mkakati Mpya wa kupunguza Upungufu wa Vyumba Vya Madarasa

    December 09, 2020
  • Mbeya Waadhimisha Siku ya Uhuru kwa Kupanda Miti

    December 09, 2020
  • RC Aagiza Kuchunguza Upotevu wa 800M za Walimu

    December 04, 2020
  • Halmashauri zatakiwa Kutenga Fedha za Afua za VVU na UKIMWI

    December 01, 2020
  • Tazama Zaidi

Video

Viongozi watakiwa kuwa wasafi
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Wasifu wa Mkoa wa Mbeya 2015
  • Mpango Mkakati wa Mkoa 2018-2023
  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Mpango Mkakati wa Kuendeleza Sekta za Kilimo 2020 - 2025
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi: 255 784838650

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.